WIZARA YA AFYA YAPOKEA MAGARI NA VIFAA VYA AFYA KUTOKA WHO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo baada ya kupokea msaada wa magari manne na vifaa vya afya  kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia (WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akipokea moja ya funguo kati ya magari manne kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).

Magari manne na vifaa vya afya yaliyotolewa na Shirika la Afya la Dunia (WHO) kwa Wizara ya Afya.

No comments

Powered by Blogger.