WASICHANA WAHAMASISHWA KUSOMA MASOMO YA SAYANSI NA UFUNDI ARUSHA

Mkuu
wa Chuo cha Ufundi cha Arusha(ATC) Dk Richard Masika akizungumza kwenye
tamasha la kuwahamasisha wasichana wanaosoma Shule za Sekondari kusoma
masoma ya Sayansi na Ufundi inayofadhiliwa na serikali pamoja na
serikali ya Ubalozi wa Italia.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji Safi na Maji Taka jiji la Arusha
(Auwsa) akiwahamasisha wasichana kusoma masomo ya Sayansi na Ufundi
hadi kufikia hatua za juu,kushoto ni Mkuu wa Chuo cha ATC ,Dk Richard
Masika na Mwakilishi wa Ubalozi wa Italia nchini,Daniel Christian.


Wanafunzi
kutoka Shule za Sekondari 10 kwenye mikoa ya Arusha na Manyara
wakifatilia tamasha hilo ambao waliahidi kusoma masomo ya ufundi ambayo
yana uhakika wa ajira.

 Mmoja
wa wanafunzi kutoka Shule ya Arusha Sekondari aliyefanya vizuri kujibu
maswali ya kisayansi akipokea zawadi kutoka kwa mgeni rasmi.
 Uongozi wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali. (credit michuzi blog)

No comments

Powered by Blogger.