RAIS DKT MAGUFULI APOKEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MKOANI TANGA, ATOA MAAGIZO MBALIMBALI KUHARAKISHA MAENDELEO YA MKOA
Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkata wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi aliposimama eneo la Komkonga.
Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukisimamishwa na maelfu ya wananchi kila alipopita.
Wenyeji kwa wageni wakifurahia ujio wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli akiongea na wananchi eneo la Hale
Wananchi wenye furaha wakimsikiliza Rais Magufuli.
Post a Comment