MAHREZ AIKACHA KAMBI ALGERIA KUKIMBILIA UHAMISHO


Riyad Mahrez anaweza kuhama katika dakika za mwisho baada ya mchezaji huyo wa Leicester City, kuruhusiwa kuondoka kambini Algeria ili kukamilisha uhamisho wake.
Timu ya taifa ya Algeria imebainisha taarifa hizo kupitia akaunti ya tweeter mapema leo asubuhi huku muda wa usajili ukikaribia ukingoni hii leo. Mahrez, anayeuzwa kwa ada ya paundi milioni 50, yupo na timu yake ya taifa na anahusishwa kuwaniwa na Arsenal, Roma pamoja na Bracelona.

No comments

Powered by Blogger.