RAIS DKT MAGUFULI MGENI RASMI KWENYE SHEREHE ZA MABOHORA KUADHIMISHA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1438 MSIKITI WA MABOHORA UPANGA, DAR ES SALAAM, LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John pombe Magufuli akisalimiana na Kiongozi wa Jumuiya
ya Mabohora Duniani, Dk Seydna Mufaddal Saifuddin mara alipowasili
kwenye msikiti wa Bohora ulioko Upanga jijini Dar es salaamambako alikuwa mgeni rasmi kwenye
sherehe za Mabohora kuadhimisha Mwaka Mpya wa Kiislamu wa 1438 leo
Oktoba 8, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John pombe Magufuli akihutubia mbele
ya Kiongozi wa Jumuiya ya Mabohora Duniani, Dk Seydna Mufaddal
Saifuddin kwenye msikiti wa Bohora ulioko Upanga jijini Dar es salaam
ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za Mabohora kuadhimisha Mwaka
Mpya wa Kiislamu wa 1438 leo Oktoba 8, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John pombe Magufuli akiagana Kiongozi wa Jumuiya ya Mabohora Duniani, Dk Seydna Mufaddal Saifuddin kwenye msikiti wa Bohora ulioko Upanga jijini Dar es salaam ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za Mabohora kuadhimisha Mwaka Mpya wa Kiislamu wa 1438 leo Oktoba 8, 2016

Post a Comment