GAZETI LAIBUA UWEZEKANO WA DONALD TRUMP KUKWEPA KWA HILA KULIPA KODI
Gazeti moja la Marekani limesema
limepata nyaraka zinazoonyesha tajiri Donald Trump alitoa maelezo ya
kupata hasara ya zaidi ya dola milioni 900 wakati wa malipo ya kodi
mwaka 1915 kwa serikali ya Shirikisho.
Gazeti hilo la New York Times
limesema hasara hiyo ni kubwa mno na inaweza kuwa ilimuwezesha Trump
ambaye ni mgombea urais wa Marekani kwa chama cha Republican, kuweza
kutolipa kodi kwa hadi mika 18 kisheria.
Kambi ya kampeni ya Bw. Trump
imegoma kutoa mrejesho wa malipo ya kodi anayolipa Bw. Trump kutokana
na biashara zake, na pia imesita kukiri tuhuma za kudai kupata hasara
pamoja na ukubwa wa hasara hiyo.
Post a Comment