Shule za msingi 50 jijini Dar zachuana shindano la kutamka herufi.

   Mwanafunzi wa shule ya msingi Genesis, Andrelia Muga (kushoto), akichuana na wanafunzi wenzake ili kumpata mshindi    katika shindano la kutamka herufi lililodhaminiwa na kampuni ya Saruji Tanga ambalo zaidi ya shule 50 za jijini Dar es Salaam zilishiriki.
Mwanafunzi wa shule ya msingi Genesis,Aggrey Marealle (kushoto), akichuana na wanafunzi wenzake ili kumpata mshindi    katika shindano la kutamka herufi lililodhaminiwa na kampuni ya Saruji Tanga ambalo zaidi ya shule 50 za jijini Dar es Salaam zilishiriki jijini humo juzi.
  Wanafunzi wa shule ya msingi Genesis wakishangilia baada ya shule yao kuibuka kidedea katika shindano la kutamka herufi lililodhaminiwa na kampuni ya Saruji Tanga ambalo zaidi ya shule 50 za jijini Dar esSalaam zilishiriki.

 Ofisa Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Saruji Tanga, Hellen Maleko (kushoto), akikabidhi kikombe kwa wanafunzi wa shule ya msingi Genesis, baada ya shule yao kuibuka washindi wa jumla wa shindano la kutamka herufi lililodhaminiwa na kampuni ya Saruji Tanga ambalo zaidi ya shule 50  Dar es Salaam zilishiriki jijini humo jana.

No comments

Powered by Blogger.