#Regrann from #myboowemasepetu - Msema ukweli kipenzi cha mungu. Msione
najichekesha chekesha mkazani nimefurahi. Ukweli ni kwamba nimeumia sana
adi chozi limenidondoka 😢 inachoma kama pasi 😭😭😭😭. Wema ulianza
kumblock legend wetu katika team anaitwa @kimbwi222 iliniuma sana, leo
mimi @myboowemasepetu kesho sijui nani. To be honest naumia 😢😭😭😭 un
follow ilikuwa haitoshi madam ukaona unipe sollex. Umesahau mazuri yote
umekumbuka baya moja tu la jana kisa kumponda aunt. Na sijamponda
nimeongea ukweli sasa unataka tufagilie adi ujinga unaofanya. Wema your
loosing amka kwenye huo usingizi mzito ulionao. Wanajua hakuna team
inanguvu insta kama teamwema, wanakupoteza ukose mtetezi daaaaah
nashindwa ata cha kuandika. Mungu mwenyewe ndo anajua kuwa ninamapenzi
ya kweli kwako. Watakaonicheka na wanicheke nimeongea ukweli kutoka
moyoni. Na asante sana kwa block 🙏🙏🙏🙏. Life goes on .... "
MPE ushauri....
Post a Comment