RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA PEMBA KATIKA UWANJA WA GOMBANI YA KALE KISIWANI PEMBA.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya kuhutubia mkutano katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya kuhutubia mkutano katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wananchi wa Pemba katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.
PICHA NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.