Picha: Hayawi hayawi sasa yamekuwa , Shamsa Ford aolewa

 Malkia wa filamu, Shamsa Ford amefunga ndoa Ijumaa hii na mfanyabiashara wa maduka ya nguo Rashidi Saidi aka Chidi Mapenzi.
                                Shamsa akiwa na mume wake, Rashidi Said aka Chidi Mapenzi
Shughuli hiyo imefanyika Sinza Africasana nyumbani kwa wazazi wa Shamsa Ford na kuhudhuriwa na ndugu jamaa pamoja na wasanii filamu. Angalia picha za ndoa.



Shamsa akizungumza baada ya kufunga ndoa
                                              Shamsa na mume wake wakisaini cheti cha ndoa
                                                          Baadhi ya watu waliojitokeza

No comments

Powered by Blogger.