WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA WILAYANI KITETO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Engusero wilayani Kiteto waliofunga barabara wakitaka asimame kuwasalimia. Alikuwa kitoka Dodoma kwenda Kiteto kwa ziara ya kazi mkoani Manyara Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa skafu baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya kazi wilayani Kiteto Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Tawala wa mkoa wa Manyara, Eliakim Maswi baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya wilaya ya Kiteto Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimina na viongozi wa dini baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya wilaya ya Kiteto Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera tarifa ya mkoa wa Manyara baada ya kusomewa mjini Kibaya katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Kiteto Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mjini Kibaya akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Kiteto Februari 15, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bndera na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Eliakim Maswi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao mjini Kibaya Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.