Hatimaye Diamond na Ne-Yo wameshoot video ya wimbo wao, Marry You.
Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani. Wimbo huo ulirekodiwa
kitambo baada ya Diamond kumfuata Ne-Yo Nairobi alikoenda kwenye kipindi
cha Coke Studio Afrika, msimu wa tatu.
Baada ya hapo wawili hao walikutana tena Marekani kumalizia baadhi ya
vipande. Mwezi May, Ne-Yo na Diamond waliuimba wimbo huo pamoja kwenye
uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwenye tamasha la Jembeka.
Tazama Video Hapa: |
| |
Post a Comment