Moja
ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya
ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016.
|
Katibu
Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na Mkurugenzi wa Kampuni ya
Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu, na maofisa wengine
wakisubiri kuwasili kwa Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na
serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius leo Septemba 20, 2016 |
Moja
ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya
ndege Tanzania (ATCL) ikipata saluti ya maji (Water Canon Salutation)
toka kwa magari ya Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mara tu bada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere saa sita na robo
juu alama leo Septemba 20, 2016
Katibu
Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akisalimiana na Rubani aliyerusha
Ndege mpya moja kati ya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya
kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere saa sita na robo juu alama leo Septemba 20,
2016.
Katibu
Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na Mkurugenzi wa Kampuni ya
Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu, na maofisa wengine
wakiwa kwenye Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa
ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius leo Septemba 20, 2016
Katibu
Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akipeana mikono kwa furaha na
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep
Sandhu mara baada ya Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na
serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius leo Septemba 20, 2016, Wengine ni
marubani wa ndege hiyo.PICHA NA IKULU
Post a Comment