MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA 6 WA ZAMBIA MHE EDGAR LUNGU MJINI LUSAKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akipungia mkono maelfu ya wananchi waliokuwa wakimshingilia wakati akiingia kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016
Rais Robert Mugabe akisalimiana na Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt Kenneth Kaunda
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa na Naibu Rais wa Kenya Mhe william Rutto, Makamu wa Rais wa Namibia Mhe. Nickey Iyambo na Rais wa kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wakisimama na kushiriki dua kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka baada ya shughuli za kuapishwa Rais Lungu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akiwa na Naibu Rais wa Kenya Mhe william Ruttona wageni wengine
wakielekea jukwaani kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes
Stadium) jijini Lusaka ambako amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa
kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13,
2016
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akipitia ratiba kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes
Stadium) jijini Lusaka ambako kamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais
wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na
viongozi wengine wakiwa kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National
Heroes Stadium) jijini Lusaka ambako kamwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa
kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13,
2016
Rais
mteule wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu akiwasili kwenye uwanja wa Taifa wa
Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kwenye sherehe za
kuapishwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo
Septemba 13, 2016
Rais
mteule wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu akipokea heshima ya mizinga 21
kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini
Lusaka kwenye sherehe za kuapishwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya 6 wa
Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016
Rais
mteule wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu akiwa na mkewa Mama Esther Lungu
kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini
Lusaka kwenye sherehe za kuapishwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya 6 wa
Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016
Rais
mteule wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu akila kiapo kwenye uwanja wa Taifa
wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kwenye sherehe za
kuapishwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia leo Septemba 13, 2016
Taswira ya Makamu
wa Rais wa Zambia Mama Inonge Mutukwa Wina akila kiapo ikionekana
kqwenye luninga kubwa kwenyeUwanja wa Taifa wa Mashujaa jijini Lusaka
leo Septemba 13, 2016
Rais Robert Mugabe wa Zambia akizungumza kwa niaba ya viongozi waalikwa wote
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu
Hassan akimpongeza Makamu wa Rais wa Zambia Mama Inonge Mutukwa Wina
kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar
C. Lungu leo Septemba 13, 2016.
Rais Edgar C. Lungu akikagua gwaride la heshima baada ya kula kiapo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi walikwa wengine kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu leo Septemba 13, 2016
Post a Comment