TRA YAIDAI ACACIA TSH. TRILIONI 425.4

Kampuni ya ACACIA imepokea makadirio ya kodi ambazo hazijalipwa zilizotokana na ripoti za kamati za Rais kuhusiana na makinikia.
TRA imeitumia taarifa Acacia inayoonyesha inadaiwa Tsh 425.4 trilioni ikiwa ni malimbikizo ya kodi, riba na adhabu kati ya mwaka 2000-2017.

No comments

Powered by Blogger.