MAJALIWA AZUNGUMZA NA MABALOZI NA WAFANYABIASHARA KUWAOMBA KUCHANGIA MAAFA KAGERA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mabalozi na Wafanyabiashara
kuwaomba wachangie katika ujenzi na ukarabati wa miundombinu
iliyoharibiwa na tetemeko la ardhi mkoani Kagera . Mkutano huo
ulifanyika Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 13, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya
Mabalozi na Wafanyabiashara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipozungumza nao , Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 13, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mabalozi naWafanyabiashara kuwaomba wachangie katika ujenzi na ukarabati wa miundombinu

Post a Comment