Riek Machar Aondoka Sudan Kusini
Rais Salva Kiir.
Rais Kiir alimfuta kazi Dkt Machar mwezi uliopita na nafasi yake kuchukuiwa na Bw Taban Deng Gai.Dkt. Machar awali alisema hatarejea Juba hadi kuwepo na kikosi cha wanajeshi wasioegemea upande wowote cha kumlinda.
Post a Comment