HELIKOPTA YAANGUKA GONGO LA MBOTO JIJINI DAR

Muonekano wa Helikopta eneo la Gonga la Mboto jijini Dar.


Baadhi ya vipande vya Helikopta hiyo.

 

Wananchi wakiwa eneo la tukio baada Helikopta kuanguka.

Helikopta imeanguka leo eneo la Gongo la Mboto, Moshi Bar jijini Dar, kuna watu wanadaiwa kufariki dunia lakini polisi hawajatoa taarifa rasmi juu ya tukio hili.

No comments

Powered by Blogger.