Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (watatu kutoka kulia )
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya Miundombinu, Peter Serukamba ,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar,
Dk. Juma Akir (kushoto) Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafii
wa Anga Tanzania(TCCA) Dk. Nyamajeje Weggoro, wakishirikiana kukata
utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la TCAA. Uzinduzi huo ulikua sehemu ya
maadhimisho ya Siku yaKimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani(ICAD) |
Post a Comment