WANAWAKE JITOKEZENI KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI - MHE. BONA KALUWA

Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa akifafanua jambo kwa wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kutambulisha jumuiya hiyo.Shina hilo lipo katika Kata ya Kivukoni , Manispaa ya Ilala.

No comments

Powered by Blogger.