Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa (katikati) akizungumza na wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kutambulisha jumuiya hiyo.Tawi hilo lipo katika Kata ya Kivukoni , Manispaa ya Ilala.Kulia ni Mwenyekiti UWT Kata ya Kivukoni Bibi. Rahilu Nyundo na kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Shina la Pamba Bibi. Sophia Mbwille.

No comments

Powered by Blogger.