Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa akifurahia jambo na
wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba
jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika
kutambulisha jumuiya hiyo.Shina hilo lipo katika Kata ya Kivukoni ,
Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Post a Comment