Baadhi ya wajumbe wa UWT Shina la Pamba lililoko katika manispa ya
Ilala jijini Dar es Salaam wakimskiliza mgeni rasmi ambaye ni Diwani wa
Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza
nao jana jijini Dar es Salaam. Picha zote na Frank Shija, MAELEZO
Post a Comment