wastara akiwa mbele ya bango la wodi ya wazazi Hospitali ya Amana.
MKONGWE
katika kiwanda cha sanaa ya maigizo Wastara Juma, leo amesherehekea
siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto 40, waliozaliwa katika hospitali
ya Amana kuanzia saa sita ya usiku mpaka leo.
Sherehe hiyo
ameifanya kwa kushirikia na timu yake (TEAM WASTARA) kwa kupeleka vitu
mbalimbali kama nguo za watoto, sabuni, pempasi na vinginevyo katika
wodi ya wajawazito iliyopo hospitali ya Amana Ilala, jijini Dar es
Salaam. credit/gpl
Post a Comment