WAZIRI NCHEMBA AZINDUA UJENZI WA MABWENI KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mhe. Mwigulu Nchemba (mb) kulia, akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama) muda mfupi alipowasili katika chuo cha Polisi Moshi CCP kilichopo mkoani Kilimanjaro, kwa ajili ya kuzindua rasmi ujenzi wa upanuzi wa madarasa na mabweni ya wanafunzi yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya mia nane (800) kwa wakati mmoja ujenzi unaofanywa kwa msaada wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mhe. Mwigulu Nchemba (mb) wane kulia, akiwa ameongozana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (watatu kulia), Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. LU Youqing, pamoja na viongozi wengine wakielekea kwenye eneo la uzinduzi wa ujenzi wa upanuzi wa madarasa na mabweni ya wanafunzi yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya mia nane (800) kwa wakati mmoja ujenzi unaofanywa kwa msaada wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiweka saini mara baada ya kuwasili katika viwanja vya chuo cha Polisi Moshi CCP mkoani Kilimanjaro, kwa ajili ya kuzindua rasmi ujenzi wa upanuzi wa madarasa na mabweni ya wanafunzi yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya mia nane (800) kwa wakati mmoja ujenzi unaofanywa kwa msaada wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China.
 Baadhi ya maofisa na askari wa Jeshi la Polisi wakimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (hayupo Pichani) wakati wa tukio la uzindua rasmi ujenzi wa upanuzi wa madarasa na mabweni ya wanafunzi yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya mia nane (800) kwa wakati mmoja ujenzi unaofanywa kwa msaada wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, katika chuo cha Polisi Moshi kilichopo mkoani Kilimanjaro.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mhe. Mwigulu Nchemba (mb, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, na Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. LU Youqing, pamoja na viongozi wengine wakizindua rasmi ujenzi wa upanuzi wa madarasa na mabweni ya wanafunzi yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya mia nane (800) kwa wakati mmoja ujenzi unaofanywa kwa msaada wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, katika chuo cha Polisi Moshi CCP kilichopo mkoani Kilimanjaro.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mhe. Mwigulu Nchemba (mb), Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, na Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. LU Youqing, pamoja na viongozi wengine wakiwa katika picha baada ya kuzindua rasmi ujenzi wa upanuzi wa madarasa na mabweni ya wanafunzi yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya mia nane (800) kwa wakati mmoja ujenzi unaofanywa kwa msaada wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, katika Chuo cha Polisi Moshi CCP kilichopo mkoani Kilimanjaro. Picha na Jeshi la Polisi.

No comments

Powered by Blogger.