RC MAKONDA AAGIZA CV ZA WATENDAJI KATA DAR KUPITIWA UPYA.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wananchi wa Bunju B juu ya  Watendaji wa Kata kutoelewa majukumu yao imekuwa ni sababu kubwa ya wananchi kushindwa kutatuliwa kero zao.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Allya Hapi akizungumza na waanchi wa Bunju B akifafanua jambo katika mkutano huo.
Sehemu ya wanchi wakimsikiliza  Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam, Paul Makonda.Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii.


RC Makonda aagiza CV za watendaji kata za jiji la Dar es Salaam kupitiwa upya hatua hiyo imefuata baada ya Mkuu huyo wa Mkoa D ar es Salaam  kufika
katika eneo la Bunju B jijini humo kwa maelekezo ya Rais Magufuli aliyetoa siku4 kutatuliwa kero za eneo hilo.



Katika mkutano na wananchi wa eneo hilo, RC Makond

alilazimika kumuinua mtendaji wa kata hiyo na ndipo alipogundua wengi wao
hawaelewi vizuri majukumu yao na ndipo alipomuagiza Mkuu wa Wilaya ya

Kindondoni, Ally Happi kukagua CV za watendaji wake mara moja.

RC Makonda amedai Watendaji hao kutoelewa majukumu yao ndio
imekuwa sababu kubwa ya wananchi kushindwa kutatuliwa kero ndogondogo na
hatimaye Wanasubiri Rais akipita wanamsimamisha kwa matatizo madogodogo
yakiwemo ya Vyoo, Umeme na masoko. 

No comments

Powered by Blogger.