RAIS WA MISRI ATUA NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Jamhuri ya Nchi za Kiarabu ya Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi akishuka kwenye ndege yake baada ya kuwasili nchini mchana huu, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Nchi za Kiarabu ya Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa J.K Nyerere, Jijini Dar es salaam mchana huu, ambapo atakuwa nchini kwa ziara ya siku mbili.
Post a Comment