LIVERPOOL YAIFUNGA BAYERN MUNICH, STURRIDDGE AKIUMIA

                                    Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane akifunga goli

Mchezaji Daniel Sturriddge ametoka dimbani kwa maumivu ya paja baada ya kufunga goli wakati Liverpool ikiifunga Bayern Munich kwa magoli 3-0 katika kombe la Audi.

Mshambuliaji huyo wa Uingereza alifunga goli dakika 15 baada ya kutokea benchi kwa kufunga goli la tatu la Liverpool, na kisha kutolewa nje kwa kuumia.

Magoli mengine ya Liverpool yalifungwa na Msenegali Sadio Mane na Mohamed Salah na kuifanya itinge fainali dhidi ya Atletico Madrid jumatano.
            Mshambuliaji mpya wa Liverpool Mohamed Salah akifunga goli kwa mpira wa kichwa
                             Daniel Sturriddge akigugumia kwa maumivu baada ya kuumia paja

No comments

Powered by Blogger.