LIONEL MESSI AKASIRIKA AMTOLEA POVU SERGIO RAMOS
Uvumilivu ulimshinda staa wa Barcelona, Lionel Messi na kujikuta akimtukana beki wa Real Madrid, Sergio Ramos wakati timu hizo zilipokuwa zikipambana jana usiku.
Messi alimtukana Ramos wakati kulipotokea faulo ambapo beki huyo alitakiwa kumpa Messi mpira ili wapige faulo, lakini Ramos akafanya kama anampa kisha akaurusha juu.
Kuona hivyo Messi ambaye timu yake ilikuwa nyuma kwa mabao 2-0 akamtolea lugha kali Ramos ambaye alikuwa ameshageuka kuondoka.
Post a Comment