MASANJA MKANDAMIZAJI AFUNGA NDOA

                                                           Masanja akiwa na mke wake.
                                             Gari la maharusi likiwasili kanisani.
Dk. Tulia Ackson naye alikuwepo.
MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, leo ameuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu aitwaye Monica.
Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa wageni waliohudhuria harusi huyo ni pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk. Tulia Ackson.

No comments

Powered by Blogger.