Wema akerwa na wanaopiga picha za nusu utupu wakati wa ujauzito
Utakumbuka miezi miwili iliyopita muimbaji wa Bongo Flava, Linah aliteka vichwa vya habari kwa kuachia picha za nusu utupu za ujauzito wake, pia baby mama wa Diamond Platnumz, Zari aliwahi kufanya hivyo kipindi cha ujauzito wa mwanae Tiffah. Hiyo ni kwa upande wa watu maarufu.
Sasa Wema Sepetu katika ukurasa wake wa Instagram ameandika, “Mashallah Esha wangu… Staha hadi Raha…. Sijawahi Elewa Wanawake wakishaenda kwenye Maternity shoots kwanini wanataka sana wakae uchi…. This Is Very Beautiful my Darling…. Allah Bariq Tumbo lako ujifungue salama my love… Unajua navyokupenda…. Hii iende kwa wanaokaaga Uchi wakiwa wanapiga picha za Mimba Jamani… @esha.s.buheti @esha.s.buheti”
Post a Comment