TFF YAFUTA KUIFUNGO CHA HAJI MANARA, SASA HURU KUITUMIKIA SIMBA

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) imemuachia huru Mkuu wa Kitengo cha Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara anaruhusiwa kuendelea na majukumu yake.
Manara amefutiwa adhabu hiyo baada ya kutuma maombi ya kufutiwa na kamati hiyo, ambayo imetangaza maamuzi hayo leo Jumatatu.

No comments

Powered by Blogger.