RATIBA KAMILI YA LIGI KUU, SIMBA Vs YANGA KUFUNGUA PAZIA

Hii ndiyo ratiba yote ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2017/18, ligi hiyo inatawajiwa kufunguliwa kwanza kwa ufunguzi wa mechi ya Ngao ya Jamii kwa kuzikutanisha Simba na Yanga mnamo Agosti 23, mwaka huu.
Timu hizo zinakutana kwa kuwa Yanga ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara wakati Simba ni mabingwa wa Kombe la FA. Ratiba kamili ya raundi ya kwanza hii hapa:
Agosti 26, 2017
Ndanda Vs Azam Nangwanda
Mwadui Vs Singida Mwadui
Mtibwa Vs Stand Manungu
Simba Vs Ruvu Shooting   Taifa
Kagera Sugar Vs Mbao Kaitaba
Njombe Mji Vs Prison Sabasaba
Mbeya City Vs Majimaji         Sokoine

Agosti 27, 2017
Yanga Vs Lipuli Taifa
KALENDA YA FIFA (AGOSTI 28 – SEPTEMBA 5)
Septemba Mosi, 2017
Singida Vs Mbao Namfua
Septemba 2, 2017
Prison Vs Majimaji       Sokoine
Azam Vs Simba Taifa
Mtibwa          Vs Mwadui        Manungu
Kagera Sugar Vs Ruvu Shooting Kaitaba
Mbeya City Vs Ndanda          Sokoine
Septemba 3, 2017
Njombe Mji Vs Yanga Sabasaba
Lipuli         Vs Stand Samora
Septemba 9, 2017
Singida Vs Stand Namfua
Mtibwa         Vs Mbao Manungu
Majimaji        Vs Yanga Majimaji
Mbeya City        Vs Njombe Mji Sokoine
Azam         Vs Kagera Sugar Azam Complex
Septemba 10, 2017
Prisons Vs Ndanda Sokoine
Simba Vs Mwadui Taifa
Septemba 11, 2017
Lipuli Vs Ruvu Shooting Samora
Septemba 16, 2017
Yanga Vs Ndanda Taifa
Singida Vs Kagera Sugar Namfua
Ruvu Shooting Vs Mtibwa Mabatini
Stand Vs Mbeya City Kambarage
Majimaji       Vs Njombe Mji Majimaji
Septemba 17, 2017
Azam Vs Lipuli Azam Complex
Mwadui         Vs Prisons Mwadui Complex
Mbao Vs Simba Kirumba
Septemba 23, 2017
Majimaji       Vs Kagera Sugar Majimaji
Ndanda       Vs Lipuli         Nangwanda
Azam Vs Singida Azam Complex
Stand Vs Simba Kambarage
Mbao Vs Prisons Kirumba
Ruvu Shooting Vs Njombe Mji Mabatini
Septemba 24, 2017
Yanga         Vs Mtibwa Taifa
Mwadui        Vs Mbeya City Mwadui Complex
Septemba 30, 2017
Mbao Vs Mbeya City Kirumba
Ndanda          Vs Majimaji         Nangwanda
Ruvu Shooting Vs Singida Mabatini
Kagera Sugar Vs Yanga Kaitaba
Njombe Mji Vs Lipuli          Sabasaba
Stand Vs Prisons Kambarage
Oktoba Mosi
Simba Vs Mtibwa Taifa
Mwadui       Vs Azam Mwadui Complex

KALENDA YA FIFA (OKTOBA 2 - OKTOBA 10)

Oktoba 7, 2017
Mbao Vs Azam Kirumba
Kagera Sugar Vs Mwadui          Kaitaba
Mbeya City Vs Ruvu Shooting Sokoine
Ndanda       Vs Singida Nangwanda
Njombe Mji        Vs Simba Sabasaba
Mtibwa         Vs Prisons Manungu
Lipuli        Vs Majimaji        Samora
Oktoba 8, 2017
Stand Vs Yanga Kambarage
Oktoba 13, 2017
Lipuli Vs Mbao Samora
Oktoba 14, 2017
Simba Vs Yanga Taifa
Oktoba 15, 2017
Njombe Mji Vs Stand Sabasaba
Kagera Sugar Vs Ndanda        Kaitaba
Mtibwa        Vs Singida Manungu
Mbeya City Vs Azam Sokoine
Majimaji         Vs Mwadui          Majimaji

Oktoba 16, 2017
Prisons Vs Ruvu Shooting Sokoine

Oktoba 20, 2017
Lipuli Vs Mwadui Samora

Oktoba 21, 2017
Singida Vs Yanga Namfua
Azam Vs Ruvu Shooting Azam Complex
Majimaji Vs Stand Majimaji
Mtibwa Sugar Vs Ndanda Manungu
Prisons Vs Kagera Sugar Sokoine
Njombe Mji Vs Mbao Sabasaba

Oktoba 22, 2017
Mbeya City Vs Simba Sokoine


Oktoba 27, 2017
Ruvu Shooting Vs Ndanda Mabatini

Oktoba 28, 2017
Singida Vs Lipuli Namfua
Prison Vs Simba Sokoine
Majimaji Vs Mbao Majimaji
Mtibwa Vs Kagera Sugar Manungu

Oktoba 29, 2017
Yanga Vs Mbeya City Taifa
Mwadui Vs Stand Mwadui Complex

Oktoba 30, 2017
Azam Vs Njombe Mji Azam Complex


Novemba 3, 2017
Singida Vs Mbeya City Namfua

Novemba 4, 2017
Ndanda Vs Njombe Mji Nangwanda
Mbao Vs Mwadui Kirumba
Stand Vs Kagera Sugar Kambarage
Ruvu Shooting Vs Majimaji Mabatini
Yanga Vs Prisons Taifa

Novemba 5, 2017
Simba Vs Lipuli Taifa

Novemba 6, 2017
Azam Vs Mtibwa Azam Complex

Novemba 10, 2017
Kagera Sugar Vs Mbeya City Kaitaba

Novemba 11, 2017
Mbao Vs Yanga Kirumba
Stand Vs Azam Kambarage
Singida Vs Njombe Mji Namfua
Lipuli Vs Prisons Samora

Novemba 12, 2017
Mwadui Vs Ruvu Shooting Mwadui Complex
Ndanda Vs Simba Nangwanda

Novemba 13, 2017
Mtibwa Vs Majimaji Manungu

USAJILI WA DIRISHA DOGO (Novemba 15 – Desemba 15)

Novemba 17, 2017
Ndanda Vs Mbao Nangwanda

Novemba 18, 2017
Yanga Vs Mwadui Taifa
Mbeya City Vs Prison Sokoine
Njombe Mji Vs Kagera Sugar Sabasaba

Novemba 19, 2017
Simba Vs Singida Taifa
Stand Vs Ruvu Shooting Kambarage

Novemba 20, 2017
Majimaji Vs Azam Majimaji
Lipuli Vs Mtibwa Samora

Desemba 15, 2017
Prisons Vs Azam Sokoine

Desemba 16, 2017
Simba Vs Kagera Sugar Taifa
Majimaji Vs Singida Majimaji
Mbeya City Vs Lipuli Sokoine
Mbao Vs Stand Kirumba

Desemba 17, 2017
Yanga Vs Ruvu Shooting Taifa
Mwadui Vs Ndanda Mwadui Complex

Desemba 18, 2017
Njombe Mji Vs Mtibwa Sabasaba


WIKI YA KOMBE LA FA (DESEMBA 17-24)

Desemba 23, 2017
Lipuli Vs Kagera Sugar Samora
Ndanda Vs Stand Nangwanda
Mbeya City Vs Mtibwa Sokoine
Yanga Vs Azam Taifa
Ruvu Shooting Vs Mbao Mabatini

Desemba 24, 2017
Singida Vs Prisons Namfua
Mwadui Vs Njombe Mji Mwadui Complex
Simba Vs Majimaji Taifa

No comments

Powered by Blogger.