Msanii wa filamu Bongo, Esha Buheti wikiendi hii amefanya Baby Shower maalumu kwa ajili ya kumkaribisha mwanae ajaye. Shughuli hiyo iliudhuliwa na watu wake wa karibu pia na baadhi ya mastaa wa filamu na muziki kama vile Shilole, Wastara Juma, Baby Madaha na wengineo.
Post a Comment