MAN UNITED YAWAPIGA LA GALAXY 5 – 2 NYUMBANI KWAO

 Henrikh Mkhitaryan ((kushoto) akimpongeza Romelo Lukaku baada ya kufunga bao la nne la Man United katika mechi ya kirafiki kati ya timu hiyo na LA Galaxy ya Marekani usiku wa kuamkia leo iliyochezwa nchini Marekani.
     Wachezaji wa Man United wakishangilia baada ya Rushford kufunga bao.
                   Antonio Valencia na Marouane Fellaini (kulia) wakipongezana.
 Jezi ya Lukaku na Poga zikiwa zimetundikwa kwenye chumba cha kuvalia nguo.
                      Lukalu akiwania mpira na mchezaji wa Galaxy, Ashley Cole.
                Juan Mata akipiga hesabu za kumchomoka mchezaji wa Galaxy.
                                                     Rushford alifunga bao.
Kikosi cha Manchester United ya Uingereza ikiongozwa na kocha wake Jose Mourinho kimecheza mechi ya kwanza ya kirafiki bila kabla ya kuanza msimu wa Ligi Kuu ya England 2017/8 dhidi ya LA Galaxy ya Marekani, mechi iliyochezwa katika Uwanja wa StubHub Center wenye uwezo wa kuchukua mashabiki  25,000 ambapo Romelu Lukaku alicheza mechi yake ya kwanza na kufunga bao katika mchezo ulioisha kwa Man United kushinda kwa mabao 5 -2.
Kwa upande wa Manchester waliofunga ni Rushford, Romelu Lukaku, Ferraine na  Mkhitaryan..

No comments

Powered by Blogger.