RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA CNMIF, BALOZI WA UFARANSA, KAIMU BALOZI WA UTURUKI NA KAIMU BALOZI WA KOREA KUSINI IKULU JIJINI DAR LEO
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa tayari
kumsindikiza na Bw. Zhang Xin, Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya China
National Machinery Industry Federation (CBMIF) na mjumbe wa National
Congress ya China Bw. Zhang Xin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es
salaam leo Machi 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa katika maongezi na Kaimu Balozi wa Korea Kusini nchini Mhe.
Songwon Shin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 23,
2017Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Zhang Xin, Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya China National Machinery Industry Federation (CBMIF) na mjumbe wa National Congress ya China Bw. Zhang Xin na ujumbe wake na maafisa wa serikali aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkaribisha Kaimu Balozi wa Korea Kusini nchini Mhe. Songwon Shin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Kaimu Balozi wa Korea Kusini nchini Mhe. Songwon Shin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsindikiza Kaimu Balozi wa Korea Kusini nchini Mhe. Songwon Shin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika Berak aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika Berak aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsindikiza baada ya mazungumzo Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika Berak aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Kaimu Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yunus Belei aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 23, 2017
PICHA NA IKULU
Post a Comment