IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kupokea taarifa ya kamati maalum iliyoundwa kuchunguza mchanga wa madini uliopo kwenye makontena maeneo mbalimbali nchini.
Post a Comment