VIDEO: Askofu Gwajima alivyowasili Clouds Media Kuwapa Pole kwa Kuvamiwa na Makonda

Leo askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima, Dr. Josephat Gwajima amefika ofisi za Clouds Media Group kwa ajili ya kutoa pole kufuatia tukio la mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kuvamia kituo hicho akiwa na askari wenye silaha.
==>Taama Full video ya tukio hilo
<

No comments

Powered by Blogger.