Hatimaye Spika Ndugai, Awafungukia Wabunge Waliojiuzulu

BAADA ya jana Machi 20, 2017, Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda na Biashara, Dkt. Dalaly Peter Kafumu, makamu mwenyekiti wa Kamati hiyo, Vicky Kamata  kujiuzulu nyadhifa zao hizo.

Katika barua walizomwandikia Spika Job Ndugai, wabunge hao walieeleza kuwa serikali imekuwa ikiingilia utendaji kazi wa kamati hiyo, lakini pia walieleza kwamba wanataka wapate muda wa kutosha kuwatumikia wananchi majimboni mwao.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefanya mazungumzo na Global TV Online, na video hii ndicho alichokisema kuhusu wabunge hao kujiuzului nyadhifa zao.
<

No comments

Powered by Blogger.