Pichaz: Trump Afanya Safari Yake ya Kwanza Akitumia Air Force One na Helkopta ya Rais

 Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump amefanya safari yake ya kwanza akiwa rais kwa kutumia ndege ya  Rais, Air Force One  na helkopta ya Rais, Marine One Januari 26.

Trump amefanya safari akitoka Ikulu iliyopo Washington DC na kwenda Jimbo la Philadelphia jana Alhamisi alipokwenda wenye mkutano wa mwaka na baadaye majira ya mchana kurudi tena Washington DC.

Wiki iliyopita Trump alitumia Air Force One wakati akitoka New York kwenda Washington DC kwa ajili ya kuapishwa kuwa rais wa nchi hiyo.


No comments

Powered by Blogger.