UJERUMANI YAENDELEZA USHINDI KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
Julian Draxler na Sami Khedira
wamefunga magoli mapema katika kipindi cha kwanza na kuisaidia
Ujerumani kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Ireland ya
Kaskazini.
Sami Khedira akiruka juu na kufunga goli la pili kwa mpira wa kichwa
Kwa ushindi huo Ujerumani
imeendeleza ushindi wake wa tatu katika michezo ya kuwania kufuzu
michuano ya kombe la dunia, huku ikiwa haijafungwa goli hata moja.
Julian Draxler akifunga goli la kwanza la Ujerumani
Post a Comment