MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI KIGALI, RWANDA KWA AJILI YA KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI WA UMOJA WA AFRIKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda, Francis
Gatare alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali, Rwanda
kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi
wanachama wa Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa Rais anamwakilisha Rais
Dkt. John Magufuli katika mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda ,Francis Gatare mara alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na SerIkali wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa rais anamwakilisha Rais Dkt John Magufuli Katika Mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda,Francis Gatare kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kigali, Rwanda mara baada ya Kuwasili nchini humo kwa ajili ya Kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa Rais anamwakilisha Rais Dkt John Magufuli katika Mkutano huo. (Picha na OMR).

Post a Comment