VINCENT KOMPANY, KEVIN DE BRUYNE KUTIBIWA NCHINI HISPANIA

 Beki Vincent Kompany atafanyiwa matibabu hii leo kwenye hospitali ya Jijini Barcelona akiwa na mchezaji mwenzake wa Manchester City, Kevin De Bruyne, katika kujaribu kupigania kupona tangu aumie misuli.

De Bruyne naye anatarajiwa kupatiwa tiba maalum nchini Hispania baada mchezaji huyo raia wa Ubelgiji kuumia misuli ya paja katika mchezo wa jumamosi wa Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya Swansea na atakuwa nje ya uwanja kwa wiki nne.
                               Kevin De Bruyn akisikilizia maumivu ya misuli ya paja

No comments

Powered by Blogger.