Rais Magufuli Azuru Kaburi La Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume, Aweka Shada La Maua
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli akiweka
shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi
Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli akitoa
heshima zake baada ya akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa
Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh
Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini
Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
Mama
Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Joseph Pombe Magufuli, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa
Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh
Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini
Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
Mama
Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Joseph Pombe Magufuli, akitoa heshima baada ya kuweka shada la maua
kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM
Makao Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, na
viongozi wengine wakiomba dua bada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi
la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao
Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, na
viongozi wengine wakiomba dua bada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi
la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao
Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016.Picha na Ikulu.
Post a Comment