Ujumbe wa Samatta kwa Waliotamani Genk Ingepangwa Kundi Moja na Man United

Mchana wa August 26 2016 shirikisho la soka barani Ulaya UEFA lilichezesha droo ya kupanga makundi ya michuano ya UEFA Europa League, droo ilichezeshwa na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilipangwa Kundi FC na timu kama Athletic Bilbao ya Hispania.

Baada ya makundi kupangwa na KRC Genk kutopangwa na kundi moja na Man United, Samatta alitumia ukurasa wake wa twitter na kuandika ujumbe unaotafsirika kama ni utani, kwa mashabiki ambao walikuwa wanatamani Genk ipangwe kundi moja na Man United.


Mbwana Samatta  ✔@samatta77
Wote mnaosikitika kwann genk aijapangwa na man u kwenye group moja mungu anawaona, itakuwa huruma zenu mmekopesha😐

No comments

Powered by Blogger.