PAPA FRANCIS AANGUKA AKIONGOZA IBADA POLAND
Papa Francis ameanguka wakati akiongoza ibada leo huko
nchini Poland mbele ya waumini na wanahabari.
Papa Francis mwenye umri wa miaka 79 ameanguka altareni na
kusaidiwa na wasaidizi wake ila hakuumia na kuendelea na ibada hiyo hadi
mwisho.
Papa yupo ziarani nchini humo na alikuwa na ibada hiyo
kusini mwa mji wa Czestochowa.
Post a Comment