Mahakama Kuu Tanzania imekubali pingamizi lililowekwa na serikali na hivyo kutupilia mbali maombi ya dhamana ya mfanyabiashara Yusuf Manji. Manji aliwasilisha mahakamani hapo maombi ya kupewa dhamana lakini imeshindikana na sasa amerejeshwa rumande.
Post a Comment