KABURU,AVEVA, WAREJESHWA TENA RUMANDE

Mahakama imeahirisha kesi ya utakatishaji fedha inayowakabili Rais wa Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ hadi Agosti 16 sababu uchunguzi haujakamilika.
Wahusika hao walifikishwa kwenye Mahakama ya Kisutu leo kwa ajili ya kusomewa kesi hiyo inayowakabili, hivyo wamerejeshwa rumande.

No comments

Powered by Blogger.