IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi baada ya kuwasili mkoani Tanga, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo, IGP Sirro amewataka askari kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za nchi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akikagua kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) baada ya kuwasili mkoani Tanga, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo na kuwataka kufanyakazi kwa weledi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za nchi.
Baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi katika mkoa wa Tanga, wakiwa kwenye gwaride la kumpokea Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, ambaye amewasili mkoani humo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ili kujua changamoto wanazokutana nazo wakati wakitekeleza majukumu yao ya kazi za Kipolisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akipokea taarifa kutoka kwa kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, SACP Benedict Wakulyamba (aliyesimama), mara alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ili kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao ya kazi za Kipolisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akizungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo katika mkoa wa Tanga, wakati alipowasili mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kujua changamoto mbalimbali wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao ya kazi za kipolisi.
Picha na Jeshi la Polisi.
Post a Comment