FLOYD MAYWEATHER, NAMCHUKIA KWELI CONOR MCGREGOR


Bondia Floyd Mayweather amebainisha hadharani kuwa anamchukia kikweli mpinzani wake Conor McGregor, na amemuonya kutotumia mbinu za mapigano ya UFC katika pambano lao.
Wanamasumbwi hao wakubwa duniani watadundana Agosti 26, katika pambano ambalo linasemekana kuwa ni kubwa kuliko yote litakalofanyika Jijini Las Vegas.
                                                Bondia Floyd Mayweather akiwa na msafala wake.

No comments

Powered by Blogger.